cramp

n 1 (also ~ iron) gango, jiriwa. 2 mkakamao (wa ghafla hasa kutokana na baridi au kazi). vt 1 bananisha, weka katika nafasi ndogo; viza. 2 sababisha mkakamao misuli. 3 tia gangoni. cramped adj 1 -enye nafasi ndogo. 2 -liyobanwa.