crack

crack

1 vt,vi 1 tia ufa, fanya upenyu. the ~ of dawn (colloq) wakati wa mapambazuko. 2 alisha; alika, fanya mwaliko; (of voice) wa kali; kwaruza. 3 banja; kwaruza. 4 (chem) safisha; yeyusha mafuta mazito. 5 (colloq and sl. uses). ~ down on chukulia hatua kali (za kinidhamu). ~ up (to be something) sifu mno, kuza. ~ up kosa nguvu (kwa uzee); pata kichaa; (of a vehicle) haribu; haribika, vunjika. ~ a bottle fungua chupa na nywa kilichomo. ~ a joke toa mchapo, piga porojo.

crack

2 n 1 ufa, mwatuko. 2 kishindo, mwaliko. the ~ of doom siku ya kiyama. 3 kipigo cha ghafula. give somebody a ~ on the head piga kichwani. 4 mzaha, dhihaka, jibu la kuchekesha. 5 (sl) stadi, mwenye akili, bora, bingwa. 6 (sl) majaribio. have a ~ at something jaribu kitu. 7 ~-brained adj -enye kichaa/ wazimu; pumbavu. cracked adj -enye wazimu. cracker n 1 biskuti/mkate mkavu. 2 fataki ya kuchezea (ialikayo ikipasuka). 3 kibanguzi: chombo cha kubangulia (mathalani korosho, nyonyo n.k.). ~-jack n 1 (sl) mtu stadi, bora kabisa. 2 kitu bora kabisa. crackers adj (GB sl) -enye wazimu.