cowl

n 1 ukaya (namna ya kofia); kifuniko cha bomba la moshi. 2 kifuniko (cha injini ya gari). 3 kanzu yenye kofia. cowling n kifuniko (cha mashine n.k.).