1n 1 ng'ombe jike. 2 jike la mnyama (kama tembo, kiboko n.k.). 3 (derog sl) mwanamke till the ~s come home daima. ~-belln kengele inayofungwa ng'ombe. ~ boyn 1 chunga ng'ombe (katika tambarare za Amerika). 2 mfanyabiashara asiye mwaminifu. 3 mhuni, mdanganyifu. ~-catchern ngao (ya gari), fremu ya chuma iliyofungwa mbele ya injini ya garimoshi inayoondoa vizuizi vya relini. cow-fishn samaki-ng'ombe (samaki mwenye kichwa kama cha ng'ombe). cowherdn mchunga ng'ombe, mchungaji wa ng'ombe. cowhiden ngozi ya ng'ombe. cowmann(pl)cowmen mkama ng'ombe. cowshed/ ~-housen zizi la ng'ombe. cow-poxn ndui ya ng'ombe.