covet

vt tamani (hasa mali ya mwingine), taka sana; ona shauku ya (kitu kisicho halali au kisicho chako). covetous adj. covetous (of) -enye tamaa (shauku, uchu) (hasa ya mali ya mwingine). covetousness n.