cover

vt 1 funika; funikiza. 2 ~ over tandaza. ~ up fungia, ficha, funika kabisa. n kuficha; mbinu/namna (ya kuficha). vi danganya; enea, tanda the water ~s the whole plain maji yameenea uwanda mzima. 3 be ~ ed with pambwa na; jaa; rashia; pakaza (tope). 4 (of money) tosha 100 shs will ~ my needs shilingi mia zitanitosha/tosheleza. 5 (protect) kinga, wekea bima, tetea, linda. 6 (of guns/fortress) tawala. 7 safiri; maliza ~ten miles in an hour safiri maili kumi kwa saa moja. 8 (sports) linda; kaba. 9 (comprise) jumlisha, -wa na the speech ~ed all the main issues hotuba ilikuwa na mambo yote muhimu. 10 (of a journalist) he ~ed the meeting alielezea habari za mkutano he ~s sports yu mwandishi wa habari za michezo. ~ing letter n barua iliyoambatishwa ya maelezo (ya ziada). 11 ~ in fukia kabisa (shimo n.k.); funika. 12 jiingiza; jitetea. ~ oneself with disgrace jiingiza fedhehani. n 1 kifuniko, kawa. 2 nguo (kitambaa cha maandalizi) ya meza. 3 kinga, maficho. take ~ jificha. break ~ jifichua. 4 jalada. read a book from ~ to ~ soma kitabu chote. ~ girl n msichana anayepigwa picha za kuwekwa kwenye majalada ya magazeti. 5 (insurance) fedha za fidia (dhara likitokea). ~ note n hati ya bima ya muda. 6 (comm) fedha, dhamana. 7 under ~of kwa kisingizio cha. 8 bahasha. under separate ~ ndani ya bahasha nyingine. 9 under plain ~ isiyo na kitambulisho/alama. 10 magugu. coverage n taarifa za matukio. coverlet n firashi.