coven

n mkutano wa wachawi. covenant n 1 (leg) mkataba, hati, mapatano. deed of ~ hati iliyothibitishwa kisheria (agh. kuhusu mali). 2 ahadi ya maandishi ya kutoa malipo ya ufadhili kwa vipindi vilivyopangwa. vt,vi agana, patana, kubaliana, andikiana mkataba. ~ed adj liofungwa na mkataba.