courtesy

n 1 adabu, heshima, ustahifu, uungwana treat with ~ stahi, heshimu. 2 kuheshimu, kitendo cha heshima. 3 ~ title (GB) cheo cha heshima. 4 by ~ of kwa fadhila ya. courteous adj -a adabu, -a heshima, stahifu. courteousness n. courtly adj -enye adabu, -a heshima, stahifu. courtliness n.