1n 1 kitala. 2 mahakama, korti. appellate ~n mahakama ya rufani. civil ~n mahakama ya madai. high ~n mahakama kuu. primary ~n mahakama ya mwanzo. contempt of ~n kudharau mahakama. open ~n mahakama ya wazi, (ambapo wasikilizaji wowote wanaruhusiwa). be ruled/put out of ~ kataliwa mahakamani. take to ~shitaki. 3 ua (wa nyumba). courtyardn uga, uwanja. 4 kiwanja cha michezo. ~cardn karata ya mzungu (katika mchezo wa karata). courtiern mtumishi wa kitala. ~ martialn mahakama ya kijeshi vt shtaki kijeshi. be ~ martialled shtakiwa kijeshi.
court
2vt 1 jipendekeza kwa heshima. 2 bembeleza pay ~ to (a woman) fanya urafiki, posa (mwanamke), bemba. 3 karibisha/chokoza (hatari, maafa, n.k.). courtshipn 1 posa, uchumba, ubembelezi. 2 kipindi cha posa.