course

course

1 n 1 mwendo. the ~of events jinsi mambo yanavyoenda. in the ~ of his childhood wakati wa utoto wake. in the ordinary ~ of nature kwa kawaida. in (the) ~ of time hatimaye in the ~ of the conversation wakati wa mazungumzo. in due ~ kwa wakati wake let nature take her ~ yaache mambo yalivyo. 2 njia, uelekeo (naut) a northerly ~ uelekeo wa kaskazi there is no other ~ open hapana njia nyingine. take a middle ~ fuata njia isiyoelemea upande mmoja take a different ~ fanya vingine. as a matter of ~ mambo kama yalivyo/yanavyotarajiwa kuwa. 3 (series of lectures, treatments etc.) kozi: mfulizo wa masomo; mfululizo wa matibabu. 4 (part of meal) sehemu ya mlo. 5 uwanja (wa kushindania mbio za farasi n.k.). stay the ~ endelea hadi mwisho (licha ya matatizo); -tokata tamaa. 6 tabaka, mstari (wa matofali au mawe katika nyumba). 7 on/off ~ sawa/mrama.

course

2 vt,vi 1 kimbiza, fukuza (hasa sungura) kwa kutumia mbwa. 2 (of liquids) tiririka.