coupon

n 1 kuponi: hati itolewayo kumwezesha mtu kupata kitu, huduma au malazi. 2 kipande cha tangazo lililochapishwa kinachokatwa na kutumiwa kama fomu ya kuagizia kitu au maelezo. 3 sehemu ya/kipande cha hisa kinachoonyesha kiasi na tarehe ya riba.