couple

n 1 vitu au watu wawili wanaohusiana (mtu na mkewe); wachumba, maharusi. 2 (fig) they go in ~s huenda wawili wawili. 3 mbilitatu, kadhaa. vt,vi 1 (on) unga, unganisha; ungana (fikirani). 2 oana; jamiiana. 3 (of animals) pandana. 4 ~ with unganisha, husisha. ~d with this pamoja na hayo. coupler n kiunganisho. coupling n 1 kiungo. 2 uunganishaji; uunganaji. 3 njia inayounganisha mizunguko miwili ya umeme ili umeme upite kati yake. coupling-pin n (tech) pini ya kiungo.