n uzito wa kusawazisha. countryn 1 nchi. 2 shamba in the ~side mashambani. ~lifen maisha ya shamba. town and ~ planning mpango wa miji na vijiji. go up ~ enda bara. 3 the ~n wananchi; taifa kwa jumla. go to the ~ itisha uchaguzi mkuu (kwa haki ya kuunda serikali mpya). 4 (as attrib.)~ clubn klabu ya kiungani. ~ cousinn (colloq). jogoo la shamba, mshamba ~-folkn wenyeji wa mashambani, wanavijiji, watu wa vijijini. ~gentlemann mwinyi. ~ partyn chama cha maslahi ya wakulima. ~ housen nyumba ya shamba. ~man/womenn 1 mwananchi. 2 mkazi wa shamba. ~ seatn nyumba kijijini (agh. ya mtu tajiri). ~siden shamba. countrifiedadj -a kimashamba, -enye desturi za kishamba.