countervail

vt,vi 1 sawazisha; tumia nguvu dhidi ya kikinzani chenye athari mbaya au chenye hatari. 2 -wa/pata nguvu sawa ya kufidia. 3 pata/lipwa sehemu ya ushuru juu ya maduhuli (yaliyofidiwa na nchi iingizayo bidhaa).