countersign

vt 1 tia sahihi (hati n.k.) iliyokwisha tiwa sahihi na mwingine. 2 thibitisha kwa kutia sahihi. n 1 (mil) neno, ishara, itikio la siri (ya kupishwa askari walindao zamu). 2 utiaji/uwekaji sahihi.