countermine

vt,vi 1 tega bomu dhidi ya bomu lingine. 2 zuia pigo kwa kulivuruga kabla ya kutokea kwake. n mpango wa kupinga shambulio; mpango dhidi ya shambulio la adui lililopangwa.