countermand

vt 1 tangua amri, (kwa kutoa amri ya kinyume). 2 kurudisha nyuma (k.m. kundi la askari) kwa kutoa amri kinyume na ile iliyotolewa kwanza. n utoaji amri inayotangua amri ya awali.