counter

counter

1 n 1 kaunta: sehemu ya mfuto k.m. meza, ambapo vitu hununuliwa/huuziwa. sell under the ~ uza kwa mlango wa nyuma. 2 kipande, sarafu (ya kuhesabu katika michezo fulani). 3 mtu ahesabuye. 4 (math.) kihesabio.

counter

2 adv kinyume, kwa kubadili run ~ to shindana na; enda kinyume na, pinga adj -a kinyume; -a kukabili. vt,vi 1 kabili, jibu mapigo, pinga (pref) 1 kinyume cha. 2 jibu la. 3 lingana na. 4 dhidi ya.