countenance

n 1 uso, sura a person with a fierce ~ mtu mwenye sura ya ukatili. 2 fikra zilizotulia, utulivu, udhibiti wa nafsi. put out of ~ fadhaisha, tahayarisha. keep one's ~ tulia, -toonyesha hisia, kaza uso kuzuia kicheko n.k. give ~ to a plan kubali shauri vt kubali, unga mkono I cannot ~ it siikubali.