count

count

1 n aina ya lodi (katika Bara la Ulaya isipokuwa Uingereza). countess n mke wa lodi.

count

2 vt,vi 1 ~ (from) (to) hesabu, taja mlolongo wa idadi. (colloq) ~noses hesabu idadi ya watu. countless adj bila idadi, -ingi mno, -siohesabika, pasi na idadi there are ~less examples etc. kuna mifano chungu mzima there are 10 ~ without the visitors wako 10 tukiacha wageni. ~able noun n nomino ya idadi. 2 jumlisha, ingiza. 3 (fig) (ji) hesabu. 4 -wa na thamani/maana he doesn't ~ hana maana every minute ~s kila dakika ina thamani. ~ against athiri, fanya mtu afikiriwe vibaya. ~ among fikiriwa. ~ down hesabu kurudi nyuma. ~ in ingiza, ongeza/jumuisha. ~ me in nimo. ~ on tegemea, tumainia may ~ on you naweza kukutegemea. ~ out hesabu moja moja; (boxing) hesabia muda; ondoa; (of parliament) tangaza kuwa hakuna akidi. ~ up jumlisha it ~s for much ina maana sana/kubwa. n 1 hesabu; kuhesabu ask for a ~ omba kuhesabu kura. keep ~ of something weka hesabu ya. lose ~ shindwa kuhesabu. take the ~/be out for the ~ hesabiwa muda. 2 kujali take no ~ of -tojali. 3 shitaka.