couch

vt,vi 1 jilaza (kwa ajili ya kupumzika au kulala). 2 lala kwa kuvizia; weka mahali pa maficho au pa kuvizia. 3 (of animals) jikunyata na kulala usingizi. 4 fuma, tarizi. 5 kuweka maelezo katika mtindo maalumu. 6 shusha (mkuki, panga, n.k.) tayari kwa kushambulia. n 1 kochi: samani itumiwayo kwa kukalia au kulalia. 2 kitanda cha mgonjwa wakati anapofanyiwa uchunguzi.