1n pamba. ~ wooln pamba. ~-caken mashudu ya pamba agh. hutumiwa kama chakula cha ng'ombe. ~-ginn kinu cha kuchambulia pamba. ~-grassn pamba mwitu. ~-mouthn nyoka wa majini mwenye sumu. ~-tailn (US) mnyama aina ya sungura.
cotton
2vi(sl) 1 kubaliana. 2 -wa na urafiki. ~ on (to)(colloq) fahamu, elewa. ~ up to jenga urafiki; jaribu kufanya urafiki.