cottage

n nyumba ndogo hasa ya kijijini/shambani. ~ hospital n hospitali ndogo ya kitongojini. ~ industry n kiwanda kidogo. cotter n mkazi katika nyumba ndogo mashambani. cottager n mtu aishie kwenye nyumba ndogo (mkulima; kibarua wa mashambani).