cot

cot

1 n 1 (poet) kibanda. 2 kifuniko (hasa kinachofunika kidole ili kisiumie).

cot

2 n 1 kitanda kidogo chembamba (kinachoweza kubebwa kwa urahisi) cha mtoto mdogo. 2 kitanda cha safari. ~ death n kifo cha ghafla cha mtoto mchanga (agh usingizini bila kuugua).