cosy

cosy

1 adj -a kufurahisha/kuburudisha na kuleta raha it's very ~ here mahali hapa pazuri/panaburudisha. a ~ little job kazi ndogo ya malipo makubwa adv kwa furaha/raha.

cosy

2 / cosey n kifuniko (cha birika la chai) au yai lililochemshwa.