costume

n 1 mavazi (maalum) (agh. kwa kipindi, nchi, cheo maalum au taifa fulani) national ~ vazi la taifa. 2 maleba: mavazi ya shughuli/majira maalumu. vt ~ a theatre etc. leta/ shona maleba n.k. kwa ajili ya michezo. 3 suti ya mwanamke. swimming ~ vazi la kuogelea ~ jewellery vito bandia. costumier n mtengenezaji, muuzaji na mwazimishaji wa mavazi ya sherehe mbalimbali.