cost
1 vt,vi 1 (cost) gharimu, patikana kwa bei/gharama fulani the house ~s 4 ml shs to build nyumba inagharimu shs mil 4 kujenga dictionary making ~s much time kutunga kamusi huchukua muda mwingi. 2 (result in the loss of) patisha/ingiza hasara; hasiri careless driving may ~ you your life uzembe katika kuendesha gari unaweza kuhasiri maisha yako. 3 (industry and comm) kadiria bei (kwa kuzingatia gharama za uzalishaji). costing n (Industry) upangaji/uwekaji/ ukadiriaji bei the ~ing department idara ya kupanga bei n 1 bei, gharama the ~ of living gharama za maisha the ~ of a house gharama/bei ya nyumba the ~ price of an article gharama za kutengeneza kitu; bei ya kununulia (itolewayo na mfanyabiashara). ~ accounting n hesabu za kuonyesha gharama. 2 costs (leg) gharama za kesi (zitolewazo na aliyeshindwa kesi). at all ~s kwa vyovyote vile. at the ~ of kwa kupoteza count the ~ kadiria hasara. costly adj 1 -a gharama kubwa, -a thamani kubwa. 2 -enye kufanywa kwa gharama kubwa.