cosmos

n ulimwengu. cosmic adj -a (kuhusu) ulimwengu mzima. cosmic rays n miali ulimwengu. cosmogony n nadharia kuhusu chanzo cha ulimwengu. cosmography n kosmografia: maelezo ya sura ya dunia katika ramani. cosmology n 1 kosmolojia: sayansi kuhusu ulimwengu. 2 tawi la sayansi lishughulikalo na muundo na umbo la ulimwengu. cosmonaut n also astronaut mwanaanga (wa Kirusi).