cosmopolitan
adj 1 -a kuhusu/kutoka sehemu zote za dunia. 2 -a kidunia; pana (kutokana na uzoefu wa sehemu nyingi za dunia) a ~ outlook mtazamo wa kidunia adj (person) -enye mtazamo wa kiulimwengu. n 1 msafiri wa dunia. 2 mlimwengu: mtu mwenye mtazamo wa kimataifa. 3 kiumbe/mmea wa duniani pote. cosmopolitism n.