corrugate

vt,vi kunjakunja (kama migongogongo midogo), kunjamana, weka matuta. corrugated adj -enye mikunjo. ~d iron (sheets) n mabati (ya kuezekea). corrugation n migongogongo, mikunjokunjo, makunyanzi.