correct

vt 1 rekebisha, sahihisha, kosoa. 2 (punish) rudi, tia adabu. 3 rekebisha, ondoa kasoro ~ a malformity/disorder ondosha kilema cha mwili; ponyesha adj 1 sahihi, fasaha ~ (clear) style mtindo fasaha. 2 (of manner, conduct) muwafaka, barabara; bila kosa. correctly adv. correctness n. correction n 1 usahihishaji, utoaji makosa; sahihisho, rekebisho. 2 (arch) a house of ~ion chuo cha mafunzo, jela speak under ~ion sema kwa sharti (kwamba unaweza kusahihishwa). 3 (punishment) adhabu, marudi, rada. 4 (improvement) matengenezo. correctional adj.