corporate

adj -a shirika, -a pamoja ~ body shirika ~ name jina la shirika ~ responsibility madaraka ya pamoja. corporation n 1 ushirika, shirika public corporation shirika la umma. 2 madiwani, manispaa the mayor and corporation meya na madiwani wake. 3 (colloq) kitambi. 4 (US) kampuni, shirika corporation tax kodi ya shirika.