corona

n (pl.) korona, taji la nuru, kianga cha mwezi; jua. coronal adj -a korona/kaakaa. coronet n 1 kitaji, shada la maua, taji dogo, pambo la kichwa 2 (bot) shada.