corner

n 1 pembe, kona standing at a street ~ kusimama kwenye pembe ya barabara just round the ~ nyuma (hapo) kwenye kona; karibu sana turn the ~ kata kona; (fig) pata ahueni/nafuu (baada ya maradhi/kipindi kigumu) cut off a ~ pita moja kwa moja (badala ya kuzunguka). cut ~s tumia njia za mkato, pinda sheria (ili kufanikisha kitu). drive somebody into ~ tia mashakani. be in a tight.~ -wa hatarini, -wa katika hali ngumu. 2 (secret or remote places) mahali pa siri they searched all ~s walitafuta kila kipembe. 3 (region quarter) sehemu to the four ~s of the earth pote duniani, pembe zote za dunia. 4 (comm) kununua bidhaa zote za aina fulani (kwa ajili ya kuhodhi na kudhibiti bei). 5 (foot- Hockey) kona. ~ kick n mpira wa kona. ~ stone n jiwe la msingi; (fig) msingi/kiini cha jambo. vt,vi 1 sukumia kwenye pembe/kona; (fig) weka katika hali ngumu. ~ed animal n mnyama aliyezingwa. 2 dhibiti (kwa kununua bidhaa zote). 3 (of vehicles) kata/ pinda kona.