1n 1 (grain) nafaka (hasa mahindi, mchele, ngano na mtama) ~ meal unga wa sembe n.k. ~ flour/starch unga wa mahindi n.k. corn-cobn konyo au gunzi la hindi. ~ ponen mkate wa mahindi. 2 punje moja ya nafaka au pilipili manga. corncraken kwekakweka (ndege).
corn
2n sugu/sagamba katika kitengele cha mguu hasa katika kidole cha mguu. tread on somebody's ~s udhi mtu.
corn
3vt hifadhi nyama kwa chumvi. ~ed beefn nyama ya kopo, bifu (iliyohifadhiwa kwa chumvi).