cork

n 1 koki, gome muoki, gome jepesi la muoki. 2 kizibo (cha gome muoki). vt ~ (up) ziba; (feelings) zuia kabisa. corked adj 1 -enye ladha mbaya (kutokana na koki iliyooza). 2 (sl) liolewa sana. corkscrew n kizibuo. corkage n malipo ya huduma kwa ajili ya vinywaji vilivyoletwa na wanywaji wenyewe mkahawani.