cordial

adj 1 -kunjufu, -changamfu give a ~ welcome pokea kwa furaha, karibisha vizuri. 2 -kali, -enye nguvu. a ~ hatred n chuki kali/ya dhati. n kinywaji (hasa cha matunda cha kuchangamsha mwili). cordially adv. cordiality n.