vt,vi 1 (out) nakili make a ~ of something nakili. 2 iga, fuatisha. 3 ~ from/off ibia (mitihani n.k.). n nakala. attested ~n nakala iliyoshuhudiwa. certified ~n nakala iliyothibitishwa fair ~ nakala safi did you get your ~ of the book/ newspaper? ulipata nakala yako ya kitabu/gazeti?. 2 maandiko (tayari kuchapwa). good ~n habari za kuvutia. ~-catn mwigaji. copyistn mtu anayenakili; mwigaji mtindo; mtengeneza nakala. ~- bookn daftari la hati mkato blot your ~book haribu sifa yako. ~-boy/girln kijana tarishi (katika ofisi ya gazeti). ~-deskn meza ya mhariri. copyhold(GB)n ukodishaji wa ardhi; ardhi iliyokodishwa n mkodishaji wa ardhi. copyrightn haki ya kunakili. vt pata haki ya kunakili. copywritern mwandishi wa matangazo (agh ya biashara).