copper

copper

1 n 1 shaba nyekundu. (attrib) ~ wire n udodi. ~ cable n kebo ya shaba. 2 (vessel) sufuria kubwa (hasa ya kuchemshia nguo). 3 (coin) senti, fulusi, sarafu ya shaba. 4 ~ beech n mti (wa) shaba: mti wenye majani ya rangi ya shaba. ~ bottomed adj meli iliyopakwa shaba kwenye kitako; (fig) salama kabisa, -enye uhakika. copperplate n bamba la shaba (lililonakshiwa) ~ plate hand writing mwandiko mzuri. ~ smith n mfua shaba. vt paka shaba kitako cha meli.

copper

2 (also cop) n (sl) polisi.