cop
cop
1 n see cooper2.cop
2 vt,vi 1 ~ it adhibiwa. 2 ~ out (of) kwepa, acha (jambo/wadhifa n.k.). ~ -out n kukosa/kukwepa kuwajibika. 3 ~ a plea kiri kosa na kuomba radhi. n (sl) kushika, kukamata it's a fair ~ ni kukamatwa kihalali/palepale unapokosea. not much ~ sio na maana, bure.