cool
adj 1 -a baridi kidogo. get ~ poa. 2 -tulivu as ~ as a cucumber (fig) tulivu kabisa, asiyetaharuki kabisa. keep ~ (fig) tulia. 3 play it ~ shughulika bila kuhangaika it cost me a ~ hundred shillings imenigharimu takribani shilingi mia moja. 4 (impudent) -shupavu; -fidhuli; -safihi. 5 baridi, -so -a kirafiki. 6 (sl) -zuri you look real ~ unapendeza sana. vt,vi 1 poa, poza; zimua. 2 tulia; tuliza. ~ it tulia. 3 ~ down/off tulia, poa. a ~ing off period kipindi cha kutulizana (wakati wa ugomvi kati ya wafanyakazi na menejimenti). 4 ~ one's heels ngojeshwa. ~ing tower n mnara poza. n 1 baridi. 2 utulivu. coolness n. coolant n kimiminiko cha kupozea. cooler n 1 kipozaji. 2 (sl) jela.