convoy

vt sindikiza kwa ajili ya ulinzi. n 1 ulinzi wa njiani. 2 (guard) walinzi wa msafara. 3 msafara wenye walinzi.