n mtu aliyebadili dini, msimamo. make a ~ ingiza mtu katika imani nyingine (dini, siasa n.k.) vt 1 (change) geuza, badili (hali, dini, fedha matumizi n.k.). 2 (of religion) badili. ~ to Islam silimu. ~ from Islam ritadi. ~ from Islam to Christianity tanasari. 3 (Rugby football) kamilisha (jaribio) kwa kufunga goli. convertedadj. convertibleadj 1 -a kuweza kubadilika, a kugeuka, -a kubadilika a~ible (car) kigeukaumbo, kibandawazi. 2 ~ible currencyn fedha yenye kubadilishika/kusarifika. conversionn 1 ubadilishaji, kubadili, ugeuzaji. conversionof something into something else ubadilishaji wa kitu kuwa kitu kingine. 2 (rel) kubadili dini. convertern 1 tanuri ya kutengeneza chuma. 2 chombo cha kubadilisha mwelekeo wa umeme. 3 chombo cha kubadilisha masafa. 4 chombo cha kubadilisha umbo la habari.