1vi zungumza, ongea, sema, semezana n (arch) mazungumzo, maongezi. conversationn mazungumzo, maongezi. enter into conversation anza kuzungumza hold/have conversation wa na mazungumzo. conversationaladj 1 -a maongezi, -a mazungumzo in a conversational tone kwa sauti ya maongezi. 2 (of words) -a kawaida. conversationalistn msemaji sana, mtu anayejua sana kuzungumza.
converse
2adj 1 a kinyume cha, -a upande wa pili; -liogeuzwa au kubadilika. n (logic) kinyume chake. converselyadv.