convention

n 1 mapatano, maagano, makubaliano. the Hague C~ n Mapatano ya Hague. 2 mkutano (wa siasa, dini n.k.) wa wanachama kwa kusudi maalum k.m. uchaguzi. 3 jambo la desturi, kawaida, mila. conventional adj 1 (often derog) -a desturi, -a kawaida, -a mazoea. a ~al greeting salamu ya kawaida. 2 -enye kufuata mila, jadi n.k. conventionalist n mwanadesturi.