contumacy

n ukaidi, ubishani wa kupita kiasi. contumacious adj -kaidi, bishi mno. contumely n 1 ufidhuli, ujuvi, twezo. 2 matusi. contumelious adj -a ufidhuli, juvi, -a kutweza.