controversy

n ubishani, mabishano. without/beyond ~ bila kupingwa. controversial adj -a kuelekea kuleta mabishano; (of person) -enye kupenda ubishani. controversialist n mbishani. controversially adv. controvert vt (rare) pinga, bishania, kanusha, kana.