contrive

vt,vi 1 panga kwa ustadi;simamia. 2 tunga, buni; vumbua, fanya n mvumbuzi; msimamizi. contrivance n 1 hila. 2 uwezo wa kuvumbua. 3 kitu kilichovumbuliwa. contrived adj a ku(ji)lazimisha.