n (colloq) dude, dubwana. contraryadj 1 -a kinyume, -a namna nyingine kabisa. 2 (of the wind) -sio faa, hasimu, kingamo. 3 bishi, kaidi. n kinyume. ~ to kinyume cha. tothe ~ kinyume. on the ~ hata, sivyo, hasha have you just come? on the ~ I came a long time ago ndio kwanza umekuja? hasha, nimekuja kitambo advise to the ~ shauri vinginevyo. 3 by contraries kinyume cha mategemeo; kinyume. contrarietyn (formal) ukinzani, uhasama (wa asili n.k.). contrariwiseadv kinyume, kwa namna nyingine.