contract

2 vt,vi 1 punguza, fupisha; punguka, nywea iron ~s when it cools chuma hunywea kinapopoa. 2 bana, kacha, -wa -embamba, fanya kunyanzi. contractile adj -a kuweza kunywea. contractility n. contraction n 1 mpunguo; ufupisho, mnyweo; kunywea. 2 (wrinkle) mfinyo/ mkunyato muscle ~ion kukaza/kubana kwa misuli, maumivu ya misuli. 3 (gram) kufupisha, mkato.